chat

Kwa Nini Wapalestina wanaendelea kuwa na matumaini Licha ya Maumivu?

Kwa Nini Wapalestina wanaendelea kuwa na  matumaini Licha ya Maumivu?

Kwa Nini Wapalestina wanaendelea kuwa na matumaini Licha ya Maumivu?

Kwa Waislamu, Palestina si ardhi ya kawaida tu—ni amana takatifu. 

Ni makaazi ya Msikiti wa Al-Aqsa, sehemu ya tatu kwa utakatifu katika Uislamu, na inahusiana kwa karibu na hadithi za manabii: Ibrahimu, Musa, Isa, na Muhammad (amani iwe juu yao wote).

shiriki: